Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 09
Mada hii inazungumzia: Mafundisho ya Mtume (s.a.w) katika kufurahishana na kusaidiana mke na mume ndani ya ndoa, pia imezungumzia njia sahihi za kumaliza ugomvi baina ya mume na mke. Kisha ametaja faida za mswaki. By: Yunus Kanuni Ngenda, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yunus Kanuni Ngenda, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.