Lectures & RemindersAudio
Biashara Na Sharti Zake
Mada hii inazunguzia: Umuhimu wa biashara katika jamii na sharti zake na kwamba ni lazima kwa wafanya biashara kuwa na elimu ya biashara, pia imezungumzia maana ya biashara na kubainisha biashara yenye Baraka na biashara isiyo na barka. By: Yunus Kanuni Ngenda Source: IslamHouse.com · Yunus Kanuni Ngenda
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.