Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 03
Mada hii inazungumzia: Maana ya suna, na umuhimu wake na daraja zake, na kwamba Sunna zimegawanyika namna tofauti katika maamrisho na makatazo, pia imezungumzia hatari ya dhambi ya kusengenya na kugombanisha watu. By: Yunus Kanuni Ngenda, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yunus Kanuni Ngenda, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.