LibraryDocuments
MUHAMMAD, REHEMA NA AMANI ZA MWENYEZI MUNGU ZIWE JUU YAKE, NI MTUME WA UISLAMU
Kitabu "Mtume wa Uislamuz Muhammad, rehema na amani ziwe juu yake" kinaweka wazi maisha ya Nabii Muhammad kuanzia kwenye nasaba yake na kuoa kwake kulikobarikiwa mpaka kuanza kuteremka kwa ufunuo na kuanza kwa utume wake ambao ndio wa mwisho, na kinabainisha alama za unabii wake na alama za ukweli wake, na kinaweka wazi sheria aliyokuja nayo na nafasi yake katika kuhifadhi haki za mwanadamu na heshima yake, kama ambavyo kinaweka wazi misimamo ya mahasimu wake na kutoa kwao ushahidi wa kumuunga mkono, pamoja na kutia mwangaza juu ya tabia zake nzuri ambazo sheria imeziweka kuwa ni kiigizo kwa watu na kuwaita katika kumpwekesha Muumbaji. Source: IslamHouse.com
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.
Related
MUHAMMAD ALLAH AMREHEMA NI MTUME WA UISLAMU
islamicmedia.tv
1 view · 1 month ago
Uislamu ni dini ya Mitume wa Mwenyezi Mungu
islamicmedia.tv
1 view · 1 month ago
Uislamu Ni dini ya maumbile na akili na furaha
islamicmedia.tv
1 view · 5 days ago
Las buenas nuevas sobre la profecía de Muhammad ibn Abdullah, el último de los profetas y mensajeros
islamicmedia.tv
2 views · 2 weeks ago
A manual of the leading Muhammadan objections to Christianity
islamicmedia.tv
1 view · 1 month ago
An Explanation Of Muhammad Ibn Abdal Wahabâs Kitab Al-Tawhid.pdf
islamicmedia.tv
1 view · 1 month ago
Ibn Ishaq's Sirat Rasul Allah - The Life of Muhammad Translated by A. Guillaume
islamicmedia.tv
1 view · 1 month ago
Manzon Musulunci Annabi Muhammad ( tsira da amincin Allah su qara tabbata a gare shi)
islamicmedia.tv
1 view · 1 month ago
Manzon Musulunci Annabi Muhammad - tsira da amincin Allah su qara tabbata a gare shi
islamicmedia.tv
1 view · 1 month ago
Il Profeta dell’Islam Muhammad
islamicmedia.tv
1 view · 1 month ago