Lectures & RemindersAudio
Kufunga Katika Siku Ya Shaka
islamicmedia.tv·1 view·7 hours ago
Mada hii inazungumzia:Hukumu ya kuutangulia mwezi mtukufu wa ramadhani, na maana ya shaka ilio katazwa kufunga ndani yake, pia kaeleza mwanzo wa kufunga na kufungua, pia kaelezea uwajibu wa kufunga kwa mwezi wa kutangaziwa na waislam. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.