Fadhila za Ibada ya Hijja
Mada hii inazungumzia: Fadhila za Hijja na mapenzi ya Allah kwa waja wake na kwamba mwenye kufanya Hijja ya kweli malipo yake ni pepo, pia imezungumzia Hijja ni mazingatio kwa waja ili watu wasibaguane na wala wasidharauliane. By: Yusufu Abdi, Yunus Kanuni Ngenda, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yusufu Abdi, Yunus Kanuni Ngenda, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.