Swaumu Ya Ramadhani Nisababu Ya Kumuogopa Allah
Makala hii inazungumzia:Ubora wa mwezi mtukufu wa ramadhani, pia amezungumzia Ubora wa laylatul Qadri na kuteremshwa Quraan. Pia kahusia umuhimu wa kufanya towba Makala hii inazungumzia: makatazo ya kuutangulia mwezi wa Ramadhan ila mwenye nadhiri, pia amezungumzia uwajibu wa kufunga pindi mwezi unapo onekana, na sharti za kukubaliwa mwezi wa shawali . By: Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.