Lectures & RemindersVideo
KHATARI YA KULA RIBA
islamicmedia.tv·1 view·18 hours ago
Khutba hii inazungumzia uhatari wakula riba na milango ya riba na adhabu za mla riba na uharamu wa kuwekeza katika mabenki ya riba na namna wanavyo patwa watu na vumbi la riba,na adhabu za mla riba. By: Abubakari Shabani Rukonkwa, Aly Bahero Source: IslamHouse.com · Abubakari Shabani Rukonkwa, Aly Bahero
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.